Hosting za haraka, salama na nafuu kwa biashara zote za Tanzania. Server zetu zipo hapa Tanzania kwa mwendo wa haraka.
Kwa tovuti ndogo
Kwa biashara zinazokua
Kwa tovuti kubwa
Server zipo Dar es Salaam kwa mwendo wa haraka zaidi.
SSL bure na ulinzi wa tovuti kila siku.
Timu yetu iko hapa Tanzania kusaidika haraka.
Data yako inahifadhiwa kila siku kwa usalama.
Hosting ni mahali pa kuhifadhi faili za tovuti yako ili iweze kuonekana kwenye mtandao. Bila hosting, tovuti yako haiwezi kuonekana na watu.
Unaweza kulipia kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au benki. Tunakubali pesa za kidigitali kwa urahisi.
Ndiyo, unahitaji jina la tovuti kama www.biasharayako.co.tz. Tunaweza kukusaidia kununua jina ikiwa huna.
Ndiyo, unaweza kubadili mpango wakati wowote tovuti yako inapokua. Hatuna malengo ya kubadili.
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp au simu upate ushauri bure kuhusu hosting.